Mkuu wa chuo cha Royal akitafakari jambo
Steji iliyotumika kukonga nyoyo za watu walio hudhuria
Baada ya kwanja za kutosha usingizi nao ulihusika.
Rais wa Serikali ya wanafunzi ROCOTASO, kushoto Geofrey Mtenzi na Mkuu wa chuo cha Royal wakijadili jambo.
Mmoja wa wadau wa mziki wakionyesha ushirikiano na wasanii wakiwa jukwaani
Peter Mpiki akifanya yake
MC, naya alitupia swaga Mc. Debora
Mmoja wa walimu akiruka kwanja Stejini kuonyesha uwezo binafsi. Bw. Ally Suleiman
" Hongera kijana" Baba la mababa akimwambia Rais Mtenzi
Mr. Royal namba mbili Msiry akiteta jambo na MC Debora
No comments:
Post a Comment