GENERATION OF LOVE UNIT

GENERATION OF LOVE UNIT
GENERATION OF LOVE@2013

Friday, August 2, 2013

Adam Mchomvu ajibiwa na team Anakonda baada ya kupost picha za uchi za Lady Jadee..Bonya usome hapa.

Kutoka facebook muda huu Acc ya Adam Mchomvu imepost hivi nanukuu " Picha za uchi alizopiga Lady Jay D bofya hapa" then akaweka link, sina uhakika na hiyo link nini kipo ndani yake maana nimeshindwa kufungua.
Account hii inayotumia jina la Adam Mchomvu sijajua kama ni yake ama fake na kama yake wame hack wakaandika au ameandika yeye mwenyewe, sitii neno hapa.

No comments:

Post a Comment