GENERATION OF LOVE UNIT

GENERATION OF LOVE UNIT
GENERATION OF LOVE@2013

Sunday, July 21, 2013

Hivi unajua faida ya kuvaa Shanga kiunoni kwa Mwanamke ?? Bonya usome hapa.

SHANGA NA RANGI ZAKE...

rangi za shanga, kwa wale wanaopenda kuvaa shanga najuwa wengi mtakuwa mnafahamu rangi na maana zake lakini kwa wale wasiojuwa je ama wanaopenda kuvaa lakini wanajinunulia rangi yeyote na kwa wanaume wanaopenda wanawake zao wavae shanga ni kusisimuana tu je mnafahamu zinamaanisha nini haya sasa..
katika swala la mahaba shanga hutumika kusisimuana haswa pale utakapompata mwanaume anayejuwa kuzitumia vizuri na unaweza kuvaa hata kumi ukitaka kuna wengine wanananunua rangi kama pink, blue, gold hizi rangi hazina maana kwenye sita kwa sita ni urembo tu kupendezesha kiuno.


rangi zenye maana kwenye sita kwa sita ni..
nyekundu, ukimkuta mwanamke amevaa shanga ya rangi hii unatakiwa kuelewa kwamba mwanamke huyu yupo kwenye hedhi, kwahiyo wewe fanya mengine lakini sio kutumbukia unless yeye mwenyewe amekuruhusu na wewe uwe na uwezo wa kutumbukia hata akiwa kwenye hedhi (kitu ambacho kiafya akishauriwi).


nyeupe, ukimkuta mwanamke amevaa shanga nyeupe hii humaanisha hana tatizo lolote litakalomfanya asikupe raha ya sita kwa sita, kwahiyo ukitaka tu muda wowote unapata.


nyeusi, ukimkuta mwanamke amevaa rangi nyeusi hii humaanisha ya kwamba yupo tayari kukupa raha za sita kwa sita lakini uwanja wake haujakatwa majani, kwahiyo chaguo ni lako kama unataka kutumia sikunzima kutafuta goli haya, ama kama utamsaidia kumkatia majani uwanjani vizuri zaidi ama kama huwezi yote basi mpe muda akate mwenyewe.


hizo ndio rangi muhimu za shanga kwa wale waliokuwa hawajui, kwa uliyenitumia email kuhusu mada hii natumaini umeielewa vizuri.

No comments:

Post a Comment