GENERATION OF LOVE UNIT

GENERATION OF LOVE UNIT
GENERATION OF LOVE@2013

Saturday, August 3, 2013

Angalia hapa post ya kwanza kutoka kwa Nando kwenda kwa mashabiki wake kupitia mtandao,.. Bonya hapa

THANKS FOR CHOOSING JONSTWICE


Kupitia mtandao wa instagram, mida ya saa tano usiku, kwa mara ya kwanza tangu alipoingia katika jumba la Big Brother,aliekuwa mshiriki wa BBA Nando,ambae anatumia "apple_juice07 katika acc yake, amepost picha yake na feza na kuwashukuru wale wote ambao mashabiki wake a.k.a #teamNando

No comments:

Post a Comment