GENERATION OF LOVE UNIT

GENERATION OF LOVE UNIT
GENERATION OF LOVE@2013

Sunday, July 21, 2013

Baada ya kuikataa ofa ya kuinoa PSG ya Ufaransa sasa AVB kuinoa Barcelona...Bonya hapa kujua zaidi






 Andre Villas-Boas cools Barcelona talk after Tito Vilanova steps down as coach

 Kocha wa timu ya Totnham Spurs Andre Villas-Boas huenda akala dili la kuinoa Barcelona kwa msimu ujao baada ya kuachia ngazi aliyekuwa kocha mkuu Tito Vilanova
Gerardo Martino
Tito alitangazwa kutokuendelea kuifundisha timu hiyo baada ya kutangazawa kuwa ugonwa wake wa kansa ya koo unamfanya asiendelee kuifundisha timu hiyo.
Kwa mujibu wa mtandao wa soccernet, inasemekana Rubi ambae alikuwa ni msaidizi wa Tito ndio angekuwa kocha wa timu hiyo, lakini habari zinasema Barcelona wanampango wa kumchukua kocha huyo kutoka Paraguay.
Mitandao kadhaa pia inasema huenda Rubi na Jordi Roura, kocha wa zamani wa Bayern Munich Jupp Heynckes, kocha alieondka Atletico Bilbao- Marcelo Bielsa. Ingawa mashabiki wengi wanapendelea Marcelo Bielsa aifundishe timu hiyo.
Frank Rijkaard, kocha wa zamani wa timu hiyo, Luis Enrique kocha wa Barcelona B,Gerardo Martino wa timu ya taifa ya Paraguay na Meneja wa Swansea Michael Laudrup pia wamo katika orodha wanaodhaniwa kuifundisha timu hiyo.

 EDELEA KUSOMA BLOG YETU KWA HABARI MOTOMOTO AHSANTE.








No comments:

Post a Comment