GENERATION OF LOVE UNIT

GENERATION OF LOVE UNIT
GENERATION OF LOVE@2013

Tuesday, July 23, 2013

Jay Dee Afanya kubwa la kuigwa, Ampa shavu Q.Chilah na Juma Nature kutoa Nyimbo ya Taifa






Msanii Mkongwe wa mziki Tanzania Lady Jaydee amezidi kuonyesha uwezo binafsi wa Kuandika mashairi yenye uzito mkubwa na kushirikiana na Wasanii wakongwe afrika baada ya kutambulisha Nyimbo yake inayo fuata akishirikiana mkongwe Q.Chilah na badaye itafata nyimbo yake aliyofanya na mkongwe Juma Nature,

Hiyo imekuja baada ya hivi karibuni kutoa nyimbo mbili kali za joto hasira na Yahaya, tunazo weza kuziita ni Nyimbo za taifa ambazo zinafanya vizuri katika media tofauti hapa Afrika pamoja na ile aliyoimba na Kidumu kutoka Burundi.

No comments:

Post a Comment