GENERATION OF LOVE UNIT

GENERATION OF LOVE UNIT
GENERATION OF LOVE@2013

Monday, August 12, 2013

Huyu ndiye msichana aliye fariki Dunia baada ya kupewa sumu na mtu aliyefahamiana naye Facebook,.. bonya hapa


Msichana mmoja mwenye umri wa miaka 23 ambaye alikuwa anasoma sheria katika chuo kikuu amekumbwa na mauti baada ya kwenda kulala na mtu mmoja tajiri asiyejulikana katika hoteli. Msichana huyo amekutana na tajiri huyo katika internet [facebook]. Kabla ya kwenda huko, wasichana wenzie anaoishi nao chumba kimoja walimktaza kutokwenda, lakini binti huyo alisisitiza. Asubuhi iliyofiata, msichana huyo alikutwa amekufa [pichani]. Chanzo kinadai kuwa, msichana huyo amelishwa sumu. Haya ni matokeo ya ubishi na endapo angaliwasikiliza wenzie jambo hili lisingalimkuta.

No comments:

Post a Comment