GENERATION OF LOVE UNIT

GENERATION OF LOVE UNIT
GENERATION OF LOVE@2013

Sunday, August 4, 2013

Dua za Watanzania zambakisha Feza Katika jumba la Bigbrother... Bonya ujue zaidi....

clip_image002
Homa iliyokuwa ikiwakabili watanzania kwamba huenda muwakilishi pekee kutoka Tanzania, Feza Kessy siku zake zimeisha kutoka kwenye jumba la Big Brother imepata tiba usiku huu ambapo muwakilishi huyo, amebaki bali mpenzi wake Oneal kutoka Botswana, ndio ametoka.
Oneal amekiri baada ya kutoka kwamba ni kutoka moyoni mwake, anampenda mshiriki huyo kutoka Tanzania na ana imani kwamba baada ya kutoka ndani ya jumba hilo, watakutana tena na kuendeleza walichokianza ndani ya jumba.

No comments:

Post a Comment