GENERATION OF LOVE UNIT

GENERATION OF LOVE UNIT
GENERATION OF LOVE@2013

Sunday, August 11, 2013

Dimpozi afanya kitu mbaya Burundi amjibu Dimond kwa vitendo, Bonya hapa kujua zaidi

Ommy Dimpoz licha ya kukwama kwa muda kidogo kwenye Airport ya Jomo Kenyatta, hatimaye aliweza kufika nchini Burundi na kufanya show. Baada ya kufika Burundi,  njiani kuelekea kwenye show Ommy Dimpoz alifuatwa na kundi kubwa la watu wakifuatilia gari lake huku yeye akiwapungia mkono. Cheki hii picha kutoka kwake mwenyewe Ommy DimpozommyAhsante kwa kuwa rafiki mkubwa wa Jonstwice.blogspot.com

No comments:

Post a Comment