GENERATION OF LOVE UNIT

GENERATION OF LOVE UNIT
GENERATION OF LOVE@2013

Sunday, July 28, 2013

Wa Nigeria Wachekelea kutolewa kwa NANDO katika Jumba la Big Brother.....Soma hapa.


Baada ya kushuhudia Mtanzania Nando kutolewa ktk Jumba la Bigbrother huko Afrika ya Kusini kutokana na kukiuka moja ya masharti yanayotakiwa kufuatwa kipindi ukiwa ndani ya jumba hilo baada ya kugombana na mshiriki mwenzake Elikem siku ya Ijumaa jioni walipo anza kupishana kauri, Imeonekana wawakilishi kutoka Nigeria kufurahia tukio hilo baada ya kuonekana kuwasumbua sana ktk kinyang'anyilo cha ushindi wa kwanza.
Breaking News: Nando Disqualified-Elikem gets a Strike

Mtanzania huyu aliye kuwa kipenzi cha watu na kupewa nafasi kubwa ya kuchukua Pesa akiwa kama mshindi wa kwanza kutokana na ucheshi wake pamoja na Uongeaji na watu wote iliyopelekea kupendwa na watu hasa Big mwenyewe, Hatua hiyo imewakumbusha wengi tukio lililo tokea mwaka jana baada ya kutolewa Mzimbabwe Rock aliye kuwa anapewa kipaumbele cha kuibuka mshindi ila akatolewa kwa kosa kama hili , Watanzania sasa wamebakisha Jicho moja tu tegemezi katika Jumba hilo kwa Mwana dada Feza Kesi aliye bakia kuiwakirisha Tanzania

Nando Ni mtanzania anaye jishughurisha na mambo ya model huko nchini Marekani ambako kaweka maisha yake alifanikiwa kuliteka jumba la Big Brother kwa muda mchache baada ya kuhojiwa na Big kuwa anataka nini aongezewe mle ndani na kujibu waongezwe wasichana.
 

1 comment: