GENERATION OF LOVE UNIT

GENERATION OF LOVE UNIT
GENERATION OF LOVE@2013

Wednesday, July 24, 2013



 





Kundi la mziki kutoka Mkoani kigoma lenye makazi yake Jijini Dar es salaam Leka Dutigite (Kigoma All Stars) hivi karibuni wamefanikiwa kuanzisha Sakosi itakayo kuwa na kazi moja ya kuwasaidia wasanii katika kundi hilo ili waweze kufanikiwa katika kazi zao,
Mmoja wa wasanii na kiongozi wa kusimamia kazi zote zawasanii katika kundi hilo Baba Levo ameyasema hayo katika mahojiano mafupi tuliyo fanya naye hii leo na kukiri kuwepo kwa mchakato huo ambao Ofisi zake zitakuwa Magomeni,

Baba Levo anayetamba na kibao chake kipya cha Nyong'onyeza amesema Leka wapo katika mikakati ya mwisho kukamilisha maandalizi ya ziara zao za kutembelea Nchi zote Afrika mashariki na mikoa yote ya Tanzania pamoja na Vijiji vyake.


 



No comments:

Post a Comment