GENERATION OF LOVE UNIT

GENERATION OF LOVE UNIT
GENERATION OF LOVE@2013

Thursday, July 18, 2013

Usiyo yajua kuhusu shilole soma hapa



 Jina lake kamili  ; Zena Mohamed
 Asili : Taabora
Kabira : Mnyamwezi na Mtusi
Kazi yake ya kwanza Kuuza genge na Mama ntilie,
Mtoto wake wakwanza alimpata akiwa na umri wa miaka 16 baada ya kubakwa na jamaa(Twaha)
badaye aliolewa naye na kuzaa mtoto wapili kisha wakaachana na sasa hana mume wala mchumba,

Mwigizaji huyo na mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya  shilole amedai kuwa anaweza kufanya ujinga wowote humu duniani lakini linapokuja suala la mapenzi kamwe hawezi kwenda pekupeku ( bila condom ) ....

Akiongea kwa kujiamini ,Shilole alisema kuwa hata mtu awe vipi, au awe wa dini gani au awe na pesa kiasi gani kamwe hawezi kumvulia nguo kama hana kondom mkononi.....
Msanii huyo alienda mbali zaidi na kuzilaani kauli za baadhi ya watu zinazosema eti ukitumia "CONDOM" ladha ya mapenzi inapungua.Yeye anadai kuwa ni mdau wa "GEMU" hilo na huwa anatumia NDOM kama kawa na hufurahia kama kawaida...

No comments:

Post a Comment