GENERATION OF LOVE UNIT

GENERATION OF LOVE UNIT
GENERATION OF LOVE@2013

Wednesday, July 17, 2013

Usajili barani uraya Joan Mata na David Luwiz kumpisha Wyne Rooney Chelsea.

Kocha wa Chelsea Jose Felix dos santos Morinho ameweka mkazo kuwa mchezaji anaye mtaka ni Wayne Rooney na sio mwingine na atakuwa tayari kutoa kiasi cha paun milion 10 pamoja na wacheza wawili  Joan Matta na David Luwiz kwenda Manchesta
Jose Mourinho akiteta jambo na mkurugenzi wa Chelsea Ron Gourlay huko Bangkok , Thailand .
Jose Mourinho akiteta jambo na mkurugenzi wa Chelsea Ron Gourlay huko Bangkok , Thailand .
Hata hivyo Chelsea imezikanusha taarifa kuwa Ilikuwa Tayari kuwatoa mmojawapo kati ya David Luiz na Joan Matta kama sehemu ya dili la kumnunua Rooney. Mustakabali wa Rooney unaonekana kuwa story ya “Msimu huu wa usajili” baada ya kuwepo na kauli tata juu ya maisha ya mchezaji huyo ndani ya klabu ya ya Manchester United .

No comments:

Post a Comment