GENERATION OF LOVE UNIT

GENERATION OF LOVE UNIT
GENERATION OF LOVE@2013

Sunday, July 14, 2013

Stand United yatwaa kombe la Mabingwa wa Mikoa Tanzania (RCL) na kupanda Ligi daraja la kwanza kwa kishindo.

Timu ya soka kutoka mkoani Shinyanga Standi United imefanikiwa kutwaa ubingwa wa mikoa hii leo baada ya kufanikiwa kuifunga kimondo super Sc ya mkoani Mbeyakatika mchezo wa marejeano ulio pigwa ndani ya uwanja wa Kambarage  mkoani Shinyanga

Stand imefanikiwa kumaliza dakika 90 ikiwa mbele kwa magoli mawili bira majibu magoli yaliyo fungwa na Levokatus na Elisha jumanne na hivyo kuhitimisha ushindi wa mabao mawili kwa moja baada ya kimondo kuibuka na ushindi wa bao moja katika mchezo wa awali huko Mbeya.

No comments:

Post a Comment