GENERATION OF LOVE UNIT

GENERATION OF LOVE UNIT
GENERATION OF LOVE@2013

Tuesday, July 23, 2013

Gerardo Martino Atangazwa kocha mpya Barcelona kuchukua Mikoba ya Vilanova



Timu ya Barcelona imefikia makubaliano na Kocha Gerardo Martino kuifundisha timu hiyo kwa msimu ujao.
  kocha huyo amepata nafasi hiyo baada ya kuwapiku makocha walio tajwa hapo mwanzo kuwania nafasi ya kuifundisha Barcelona , makocha hao  ambao walitajwa mwanzo ni Luis Enrique, Andre Villas-Boas, Marcelo Bielsa, Michael Laudrup na Guus Hiddink, ambaye jana alibwaga manyanga kuifundisha Anzhi Makhachkala kuutokana na kupewa azabu na shirikisho la soka nchini Urusi.

No comments:

Post a Comment