Daah, hii dunia ina mengi aisee! hili ni bwawa la kuogelea ambalo kilichopo hapa ndani sio maji
Lipo nchini Japan na wamiliki wa hotel ambayo hii swimming pool ipo walipata idea ya kulijenga kutoka kwa malkia wa Misri enzi za kale Qleopatra ambaye inasemekana alikuwa na Kawaida ya kuoga kwenye mvinyo ili kurutubisha ngozi yake.
Mvinyo huo unamwagika toka kwenye chupa unayoiona hapo kwenye picha ina urefu wa mita 3.6
No comments:
Post a Comment