GENERATION OF LOVE UNIT

GENERATION OF LOVE UNIT
GENERATION OF LOVE@2013

Sunday, August 4, 2013

Angalia hapa Wabunge wa Taiwan walivyo Nyukana Bungeni, Bonya hapa uone video......

WABUNGE WACHAPANA NGUMI ZA KAVU KAVU BUNGENI

Picha: Ni wabunge wa Taiwan 'walivyoadabishana' jana baada ya kupishana maelewano kufuatia mpango wa kupiga kura ya maoni iliyoazimia kuidhinisha umaliziwaji wa mradi wa nne wa Nyuklia katika kisiwa ambacho kinakaliwa na watu wapatao milioni 23.

No comments:

Post a Comment