Basil akishangilia moja ya magoli yake
Mchezo wa Soka ni mchezo wenye mashabiki wengi ulimwenguni napia
nimoja ya michezo mikubwa inayo ongeza kipato cha nchi, hivyo kuna kira sababu
ya kusema mchezo wa soka ni ajira kwa vijana wenye kipaji cha kusakata mpira wa
miguu.
Kwasiku nyingi kumekuwa na
changamoto katika mchezo huo ambazo zimepelekea kuwakatisha tamaa vijana ambao
wanakuwa na ndoto za kucheza soka hapa nchini
Naleo tunae mchezaji chipukizi
kutoka mjini Morogoro ambae aliitumikia timu ya Taifa chini ya umri wa mika 17
ya Tanzania,
angalia intaviw yake fupi utajua TFF wana mpango gain na Soka la Bongo.
jina; Basil
Abdul Seif.
umri; 18
kuzaliwa; 29/12!1996
mahali; Morogoro
urefu; 5.43
timu; polisi moro.
umri; 18
kuzaliwa; 29/12!1996
mahali; Morogoro
urefu; 5.43
timu; polisi moro.
BASILI.......sauzi tulicheza kombe la ligi,. kulikua na timu 8 ambazo ni;
Uganda,zambia,kenya,malawai,nigeria,na Tanzania. mechi ya kwanza tulifungwa na kenya 3-2,. ya
pili tulicheza na nigeria
na droo ya 1-1,. mechi ya tatu na Uganda tulichinda 2-0 magoli
nikishinda mi mwenyew,. mechi ya nne tulicheza na kisiwa cha seto, tulishinda
2-0,goli moja nilishinda mimi. ya tano tulicheza na malawai pia tulishinda
3-1,. magoli mawili tena nilifunga mi mwenyew,. ya sita tulicheza na somalia tukatoa
sare ya 2-2,. goli moja nilishinda mimi,. nkawa mfungaji bora souz afrika chini
ya kocha silvesta marsh kwa jumla ya goli 6.
mechi ya mwisho tulifungwa na zambia 1-0,. ndoto zangu ni
kuchezea chelsea,kwa tanzania
naipenda sana
Azam fc.
JONS......Kunamchezaji yoyote mliyekuwa nae tm moja ya Tz au mchezaji
yoyote kutoka nje ya tz ambaye ametoka kimpira kwenda ulaya ? na mchezaj agan
unamhusudu sana
?
BASILI......wapo kama wanne ivi ila majina yao siyajui,. mchezaji mkali wangu ni javier
hernandes { chicharito} na kuhusu kwa sasa nipo tu nyumbani kwani baada ya
kuvunjwa kwa kambi ya timu ya taifa kwa chini ya umri 17 sijawahi kupata
ushirikiano kutoka TFF hata Serikalini bahati nzuri akaja mtu tofauti kabisa
akanipeleka polisi Moro nayo iliposhuka dalaja ikavunja mkataba na mimi na sasa
nipo nyumbani tu nafanya mazoezi mwenyewe
ila naomba Serikali ituangalie kwa jicho la tatu
wachezaji vijana tunao sahaulika baada ya kuitumikia timu ya Taifa na umri
ukipita tunatupwa,
No comments:
Post a Comment