Shilole ambaye bado nyimbo yake aliyoipa
jina la Paka la Baa bado inafanya vizuri, lakini ametoa ngoma nyingine
mpya inaitwa “Nakomaa na jiji”. Nyimbo hii ambayo Shilole ameifanyia
video akiwa Marekani na hivi karibuni video hiyo itatoka. Chukua dakika
zako 3 kusikiliza wimbo huu mpya na ucheki picha akiwa ana-shoot video
ya nyimbo hii huko New York.
No comments:
Post a Comment