p, amesema ilikuwa ni siku ya furaha kwao siku ya mwisho wakati marehemu anajiandaa kurudi Tanzania na yeye alikuwa bado anamuda wa kukaa kule kutokana na mambo mengi aliyokuwa nayo wakati huo, walifurahi pamoja kwa lengo la kuagana tayali kwa safari ndipo walipo toka out kurefresh kidogo kabra ya kurudi walipokuwa wamefikia na kuzidiwa ghafra na mauti kumkuta marehem Ngwear na yeye kuzidiwa na kupelekwa hospitali, ila alipopata nguvu alifichwa kila kitu na kuambiwa anatakiwa kurudi Tanzania kucheza muvi yake aliyo kuwa acheze kabla ya kwenda A.kusini bira kujua alirudi nyumbani na kufika usiku huku Dar es salaam ndipo akaambiwa ukweli kuhusu msiba na tayari mwili wa marehem ukiwa safarini kwenda Morogoro kupumzishwa..
Wednesday, July 17, 2013
Siku moja baada ya Ngwea kufikisha siku 40 toka atutoke M2 the P akisema kilicho mkuta A.kusini
p, amesema ilikuwa ni siku ya furaha kwao siku ya mwisho wakati marehemu anajiandaa kurudi Tanzania na yeye alikuwa bado anamuda wa kukaa kule kutokana na mambo mengi aliyokuwa nayo wakati huo, walifurahi pamoja kwa lengo la kuagana tayali kwa safari ndipo walipo toka out kurefresh kidogo kabra ya kurudi walipokuwa wamefikia na kuzidiwa ghafra na mauti kumkuta marehem Ngwear na yeye kuzidiwa na kupelekwa hospitali, ila alipopata nguvu alifichwa kila kitu na kuambiwa anatakiwa kurudi Tanzania kucheza muvi yake aliyo kuwa acheze kabla ya kwenda A.kusini bira kujua alirudi nyumbani na kufika usiku huku Dar es salaam ndipo akaambiwa ukweli kuhusu msiba na tayari mwili wa marehem ukiwa safarini kwenda Morogoro kupumzishwa..
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment