Kikosi cha kwanza kinacho tegemewa kuanza huko Uganda katika uwanja wa Nerson Mandela kukipiga na wenyeji wao Uganda kuwania nafasi ya kucheza fainali za wachezaji wanao tumikia ligi ya nchini kwao (CHAN),
Mchezo huo ambao utachezwa hapo badae kikosi cha Taifa Stars kitakacho anza ni
1.Juma Kaseja
2.Erasto Nyoni
3.David Luwende
4.Agrey Mouris
5.Carvin Patrick Yondani
6.Athuman Idy Chuji
7.Frank Domayo
8.Salum Abubakar Sure boy
9.John Bocco
10.Amri Kiemba
11.Arfani Mrisho Ngasa
Hao ndio wanategemewa kuipeperusha Vyema Bendela ya Tanzania.
Mungu ibariki Tanzani Mungu ibariki Taifa Stars.
No comments:
Post a Comment