
Msanii Maarufu nchini Tanzania na Afrika Jannifer kyaka maarufu kama Odama amesema kuwa filamu yake mpya aliyo ipa jina la Witch Doctor inatarajiwa kutoka mwanzoni mwa mwezi ujao akiwa ameshirikiana na wasanii nguri nchini akiwemo Baba haji, Stanrey Msungi, Bimwenda, Mama nyama yao na wengine wengi ambao wote kwa ujumra wameonekana kusifia Filamu hiyo. Kwa upande mwingine Odama amekanusha kuwepo kwa maneno yanayo zushwa na watu furani kuhusu yeye juu ya safari yake ya kwenda nje ya nchi.Chanzo cha habari Jonsttwice.blogsports.com
No comments:
Post a Comment