
Msaanii wa mziki miondoko ya Bongo frava Dogo Janja, amefunguka juu ya maneno yaliyo
sikika kwa muda mrefu kuwa hana mpango na shule tena baada ya kushindwa kufauru
mitihani yake ya kidato cha pili kuelekea kidato cha tatu katika shule
aliyokuwa anasoma mwanzo ya Makongo,
Dogo Janja amefunguka kuwa sasa yupo shule anapiga kitabu
katika shule ya Mbezi beach iliyopo Jijini Dar es salaam
na kamwe hawezi kuacha shule kama wanavyosema
watu wasiojua maisha yake yanaenda vipi,
Kuhusu sanaa hakuacha kuzungumzia na kuwaahidi mashabiki
wake wakae mkao wa kusikiliza mziki mzuri ambapo anatarajia kutoa nyimbo wiki
ijayo itakayo sikika kwa jina la Tuserebuke aliyo washirikisha Mamong’oo kutoka Jijini Arusha.
No comments:
Post a Comment