GENERATION OF LOVE UNIT

GENERATION OF LOVE UNIT
GENERATION OF LOVE@2013

Sunday, July 14, 2013

Aliyo yasema Ben Paul kuhusu mashabiki wake





Mkali wa RNB Tanzania Ben Paul amewataka mashabiki wake kuelewa lengo la kuimba nyimbo ya Jikubari ni kuhamasisha vijana wengi kujiamani katika utendaji wa kazi zao bila kujari ni kitengo gani au kazi gani anayo fanya.

No comments:

Post a Comment