GENERATION OF LOVE UNIT

GENERATION OF LOVE UNIT
GENERATION OF LOVE@2013

Sunday, July 14, 2013

Beka Afunguka juu ya ujio wake wapekee katika mziki wa bongo flava, jua mengi kuhusu kibao chake kipya cha Bechuu,,, ingia hapa.

Msani wa Mziki miondoko ya bongo flava  RNB, Bakari Ibrozama ( BEKA) amesema ujio anao kuja nao ni wakikubwa na taswira ya mbari,
Amesema kibao chake kipya cha Bechuu akiwa na maana ya neno sisi kinazungumzia maisha halisi ya kiafrika yanayo mgusa kila mwafrika kutokana na kuwepo na chuki baina ya watu wa kiafrika ambao husababisha vita nambo mengine yanayo eneza chuki \
Akizungumza kuhusu rugha aliyotumia katika wimbo huo ni Rugha za kibantu ikiwemo Kimanyema. Beka amewataka mashabiki wake kukaa tayari kusubili nyimbo nyingine zinazo kuja
zikiwa na ujumbe wa Mapenzi na kugusa jamii kama kibao chake cha Narudi kazini na Bechuu.

No comments:

Post a Comment