Sunday, July 14, 2013
Wa Germani wajichanganya kwatimu ya Soka ya wanawake Sayari Fc.
Timu ya soka ya wanawake kutoka Germani leo itakuwa uwanjani kujipima ubavu na timu ya Soka ya Sayari Fc yenye maskani yake Kinondoni Jijini Dar es salaam katika mchezo utakao pigwa ndani ya uwanja wa kukumbu ya Karume Jijini Dar es saalam.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment