GENERATION OF LOVE UNIT

GENERATION OF LOVE UNIT
GENERATION OF LOVE@2013

Monday, September 2, 2013

Picha za matukio yaliyo fanyika ndani ya Royal Day Bash. bonya hapa kujua zaidi.....

                                                Mkuu wa chuo cha Royal akitafakari jambo

                                     Steji iliyotumika kukonga nyoyo za watu walio hudhuria
                                           Baada ya kwanja za kutosha usingizi nao ulihusika.

     Rais wa Serikali ya wanafunzi ROCOTASO, kushoto Geofrey Mtenzi na Mkuu wa chuo cha Royal wakijadili jambo.
              Mmoja wa wadau wa mziki wakionyesha ushirikiano na wasanii  wakiwa jukwaani


                                              Peter Mpiki akifanya yake

                             MC, naya alitupia swaga Mc. Debora 

            Mmoja wa walimu akiruka kwanja Stejini kuonyesha uwezo binafsi. Bw. Ally Suleiman
             " Hongera kijana" Baba la mababa akimwambia Rais Mtenzi


                       Mr. Royal namba mbili Msiry akiteta jambo na MC Debora

No comments:

Post a Comment