Show ya uwoya yaiva,.. Angalia hapa picha zake za kwanza akiwa Kazini na team yake ya Ujenzi,.. Bonya hapa kujua zaidi
Muonekano wa Irene Uwoya ndani ya mavazi ya mafundi ujenzi akiandaa show yake.
Irene
Uwoya ameshaanza mpango mzima wa kutembelea nyumba na kuzifanyia
ukarabati akiwa kwenye harakati za ku-shoot show yake. Unaambiwa Irene
kwenye show anaonekana kama mkandarasi kabisa akiwa amevaa overall na
kofia ya wajenzi. Cheki hizi picha akiwa busy na crew yake wakiandaa hii show.
No comments:
Post a Comment