Wayne
Rooney jitihada zake za kutaka kuihama Manchester United zinakaribia
kutimia - baada ya kumriwa kufanya mazoezi na kikosi cha pili cha klabu
hiyo na meneja David Moyes siku ya Alhamisi kufuatia mkutano kati ya klabu na ajenti wa Rooney bwana Paul Stretford.
Stretford alipomaliza kikao na Moyes katika uwanja wa mazoezi wa
Carrington mapema Alhamisi - Rooney alipewa taarifa kwamba atakapofika
mazoezini jioni basi atakua na timu ya kikosi cha pili
No comments:
Post a Comment