Kiungo mkabaji wa Manchester City na Timu ya taifa ya Ivorycoast Yaya Toure ameipa nafasi kubwa timu ya Chelsea kumnyakua mshambuliaji wa Majirani zao Manchester United Wayne Rooney kutokana na nafasi ya mazungumzo yao yalipo fikia na Rooney kutilia mkazo wakutaka kupata nafasi ya kucheza kama mshambuliaji wa mwisho nafasi anayopewa van Persie na Kocha David william Moyes, Hata hivyo Toure amesema kuna kila sababu za kiungo wa Spurs Gareth Bale kwenda kwa Mabingwa watetezi Man u Endapo Rooney ataondoka.
Rooney kama ataenda Chelsea atakuwa hivi (sio Offisial)
Bale kama ataenda Manchester atakuwa hivi (Sio Offisial)
No comments:
Post a Comment