Sandro Rosell and Andoni Zubizarreta baada ya kikao cha dharula majira ya 10 : 30 usiku kujadili juu ya kuachia ngazi kwa Tito vilanova kutokana na kusumbuliwa na ugonjwa wa Moyo hivyo kushindwa kuitumikia klabu hiyo kwa siku zijazo
Kikao kilimjumuisha Rais na mkurugenzi wa Barcelona kujadili juu ya nani anaye faa kuchukua nafasi ya Vilanova .
Tito Vilanova akifatilia baadhi ya michezo yake akiwa na Fc Barcelona
Vilanova 44 alizidiwa mwanzoni mwa December 2012 na kukaa nje ya uwanja kwa wiki 10 akiwa New York kwa matibabu kabra ya kurejea mwezi March na kuchukua kombe la Spanish title tokea ajiunge na Barca mwezi june 2012 akichukua nafasi ya Pep Guardiola aliye kuwa kocha mkuu na yeye akiwa kama kocha msaidizi...
SWALI NI JEE NANI ATACHUKUA NAFASI HIYOOOO?
No comments:
Post a Comment