Uchunguzi ulio fanyika hivi karibuni umeonyesha kuwa winga machachari kutoka visiwa vya Wales na timu ya Totnham spurs GARETH BALE ni zaidi ya mshambuliaji kutoka Brasil Neymar Dos Santos kupitia vigezo vingi vilivyo fanywa na wakala wa mchezaji huyo, sababu Bale anamataji makuu mawili msimu ulio pita ikiwemo ya Mchezaji bora wa England na ya mchezaji bora chipukizi tofauti na Neyma pia endapo atauzwa atakuwa na thamani ya juu kuliko Neyma.
Ikumbukwe Real Madrid ilikuwa katika kinyang'anyiro cha kumsaka Nyota wa zamani wa Santos Neyma ambaye sasa anakipiga na mahasimu wao wakuu Barcerona, lakini kupitia ”
director wa timu hiyo Zinedine Zidane, ameonekana kumyunuku zaidi Balekuliko Neyma,,
"The Spurs star won both PFA Player of the Year and PFA Young Player of the Year this season.
And Barnett added: “Gareth Bale is a better player than Neymar. He has proved himself in the best league in the world.".Alisema Zidane
Hakuisia hapo aliendelea kumtunuku kwa kusema “I would hope that any club who wants him, wants him not because they lost out on Neymar.
“I would think that he would have to be their first choice and we will have to see.
“It’s crazy but whatever Neymar cost — Gareth Bale is worth more.”
"Bale has proven himself in a big league like EPL, in champions league; where single handedly almost rescue spurs from a heavy defeat in San Siro where he scored an hat-trick. He almost got Totthenham Hotspurs into Europe only to missed out to Arsenal narrowly".
No comments:
Post a Comment