
Mkali kutoka Kigoma aliye wahi kutamba katika mashindano ya Tusker Project Fame huko Nairobi nchini Kenya akiiwakirisha Tanzania Peter Msechu amewataka mashabiki wake kukaa tayali kuipokea kwa mikono miwili nyimbo yake mpya inayo kwenda kwa jina la KIBUDU akiwa na mkali mwingine kutoka THT, Ally Nipishe.
No comments:
Post a Comment