Winga hatari katika ulimwengu wa soka kwa sasa C.Ronaldo na Mshambuliaji kutoka nchini ufaransa Karim Benzema wamempa kiburi Carlo Ancelotti katika timu yake nakusema hana mpango na Suarez kwani wachezaji alio nao wanamtosha katika kikosi chake nahana mpango wa kutafuta mshambuliaji mwingine atakaye cheza ndani ya kikosi cha Madrid
Chanzo cha habari kutoka Madrid kimeripoti kuwa kocha mpya wa Bernabeu amekataa kumsajiri mshambuliaji yeyote baada ya kumuuza Gonzalo Higuain kwenda Napoli ila bado anawaamini Cristiano Ronaldo na Karim Benzema kitendo hiko kinaweza kuwa ni tiketi kwa Arsenal kupata saini kirahisi ya mchezaji huyo inayomtaka kwa hudi na uvumba.
No comments:
Post a Comment