Mshambuliaji mpya wa FC Barcelona Neyma dos Santos akiwa mazoezini kwa mara ya kwanza toka ajiunge na timu hiyo akitokea Santos ya Nchini Brazili ameonekana kuzikonga Nyoyo za mashabiki waliofurika uwanjani kufuatilia mazoezi ya timu hiyo baada ya kuonekana akipigiwa kelele za shangwe kila alipo gusa mpira kitendo kilicho mpelekea Lionel Messi kuonekana wakawaida na thamani yake katika timu ikipungua
Kwa upande mwingine kocha watimu hiyo Tata hajamjumuisha kiungo mkabaji Mascherano katika kikosi kitakacho cheza mchezo wa kirafiki na timu ya vijana wa timu hiyo.
Hawa ni wachezaji walio safili na timu hadi huko Poland >>> Pinto, Oier, Montoya, Bartra, Adriano, Song, Sergi Roberto, Dos Santos, Messi, Tello, Neymar, Alexis, Sergi Gómez, Planas, Juan Román, Dani Nieto, Bagnack, Samper, Ilie, Patric, Dongou, Espinosa na Kiko Femenía.
No comments:
Post a Comment