kiungo
mchezeshaji wa Simba na Taifa stars Mwinyi Kazimoto ameikacha timu ya
Taifa Stars wakiwa Jijini mwanza kuelekea Uganda katika mchezo wao
wamarejeano
akizungumza
na waandishi wahabari msemaji mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)
Bonifasi Wambura amekili tukio hilo kuwa limetokea leo huko mwanza
wakati wachezaji wakijiandaa na Safari ya kuondoka Nchini
amesema
Kazimoto hakuonekana wakati wote wa maandalizi ya safari na kuzani kuwa
ameenda kuaga ndugu zake ikabidi kumsubiri Uwanja wa ndege bira
mafanikio hadi timu inaondoka katika arithi ya Tanzania Kazimoto
hakujulikana alipo.
No comments:
Post a Comment