kiungo mchezeshaji wa Simba na Taifa stars Mwinyi Kazimoto ameikacha timu ya Taifa Stars wakiwa Jijini mwanza kuelekea Uganda katika mchezo wao wamarejeano
akizungumza na waandishi wahabari msemaji mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Bonifasi Wambura amekili tukio hilo kuwa limetokea leo huko mwanza wakati wachezaji wakijiandaa na Safari ya kuondoka Nchini
amesema Kazimoto hakuonekana wakati wote wa maandalizi ya safari na kuzani kuwa ameenda kuaga ndugu zake ikabidi kumsubiri Uwanja wa ndege bira mafanikio hadi timu inaondoka katika arithi ya Tanzania Kazimoto hakujulikana alipo.
Mwinyi kazimoto kulia akiwa na Shomari kapombe.
No comments:
Post a Comment