GENERATION OF LOVE UNIT

GENERATION OF LOVE UNIT
GENERATION OF LOVE@2013

Sunday, July 28, 2013

Moyes anyoosha mikono kwa Fabregas amfungia mkanda Fellaini,, amgomea Rooney kuondoka. Soma hapa..

Uongozi wa Fc Barcelona umeendelea kukazia msemo wake wa hauzwi mtu kwenda popote kwa thamani yoyote ile, baada ya kuitilia ngumu timu ya Manchester United kumchukua kiungo mshambuliaji wake Cesc Fabregas kwa dau la paund Million 35 ikiwa ni ofa ya pili kuitoa baada yahapo awali kukataliwa ofa ya kwanza.
Hatua hiyo imepokelewa vibaya na kocha mkuu wasasa wa Manchester David William Moyes nakuonesha kukata tamaa kabisa kumpata kiungo huyo baada ya kutangaza nia ya kutenga kiasi cha pesa kumwania kiungo wa Everton na Ubergiji Maroune Fellaini ambaye anawaniwa kwa karibu pia na washika mitutu wa London Arsenal
Hata hivyo Moyes amezidi kuonyesha unyama unyamani na yeye baada ya kushikilia msimamo wa kuto muuza Wyne Rooney kwenda Chelsea hata wakiweka dau lolote lile,hawezi kuondoka Jijini Manchester.

No comments:

Post a Comment