hakuacha kumpongeza Msanii nguli nchini Afande Sele ambaye amekaa katika game la mziki kwa Muda mrefu sasa na kupata mafanikio mengi nakusema anakila sifa ya kuitwa mfalme ktk kazi zake na hata kama yeye Stamina anafanya kazi nzuri lakini Afande atabaki kuwa Mfalme mpaka atakapo mkabizi Fimbo na Sime ya Kuwa Mfalme, Stamina ni moja ya wasanii wanao wahusudu wasanii wakongwe na kusema bila wao huenda asingekuwepo stamina.
Sunday, July 28, 2013
Fahamu alicho zungumza Stamina Kuhusu Jina la Ufalme kati yake na Afande Sele, Soma hapa
Msanii wa HipHop nchini Tanzania Stamina maarufu kama Kabwela, leo amezungumzia juu ya kazi zake pamoja na Sapoti anayo ipata kutoka kwa mashabiki wake nchini na nje ya Tanzania kuwa wamempokea vizuri toka aanze kufanya kazi ya mziki na wamekuwa wakimpa sapoti kwa kila kazi anayotoa,
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

Stamina
No comments:
Post a Comment