GENERATION OF LOVE UNIT

GENERATION OF LOVE UNIT
GENERATION OF LOVE@2013

Tuesday, July 23, 2013

Hii ndiyo Ratiba ya michezo ya kwanza ya Simba na Yanga Ligi kuu ya Vodacom,(VPL)

Ligi kuu Tanzania ikiwa inatarajiwa kuanza Agost 24 hii ndiyo Ratiba ya Mechi za mwanzo za Simba na Yanga ambapo Simba itaifuata Rhino Tabora katika uwanja wa Ally Hasani Mwinyi, Mchezo wapili watakutana na Jkt Oljoro , Na badaye watacheza na Mtibwa Sukari katika uwanja wa Taifa Dar es salaam, Wakati wapinzani wao Dar young Afrikan wataanza na Ashanti katika uwanja wa Taifa, mchezo wapili watakutana na Cost Union na Kagera sukari ....Endelea kuperuzi Jonsttwice.blogsport.com

No comments:

Post a Comment