GENERATION OF LOVE UNIT

GENERATION OF LOVE UNIT
GENERATION OF LOVE@2013

Tuesday, July 23, 2013

Belle 9 , Auzungumza mwezi wa Nane kuwa ni mwezi wa Kumtambua Belle 9 kimziki, Soma hapaa




Msanii wa Bongo frava miondoko ya RNB, Belle 9 amesema kuwa hadi sasa hajaelewa ni nyimbo ipi itoke kati ya zilizopo katika Stoo yake,
Akizungumza na Jonsttwice kwanjia ya simu akiwa njiani kuelekea Morogoro kutoka Dar Belle amesema ananyimbo nyingi sana katika kichwani kwake ambazo amepanga kuzitoa mwezi wa nane ila hajajua ni ipi ianze kati ya hizo akadokeza kwa kifupi inawezekana akaanza na VITAMINI MUSIC ila mashabiki wake wakae mkao wa kumjua kiundani Belle 9 katika Mziki wa RNB.

No comments:

Post a Comment