Kanda ya Ziwa kaeni Tayali kupokea Darasa la kujikubali kutoka kwa Ben Paul....................
Mkali wa RNB nchini Tanzania Ben Paul yupo katika maandalizi
makali kujiweka sawa kwa kuwapa raha wakazi wa kanda ya ziwa hasa mikoa ya Geita
na Mwanza katika sherehe za Eid mosi na Eid
pili, ambapo atatumbuiza Geita Eid
mosi kisha ataelekea Jijini Mwanza Eid pili kumalizia show zake,
Mkali huyo amewataka wakazi wote kukaa mkao wa kupata
burudani za kutosha kupitia utambulisho wa nyimbo zake mpya na kuwakonga kwa
nyimbo zake za zilizo fanya vizuri katika industry ya Mziki.
No comments:
Post a Comment