GENERATION OF LOVE UNIT

GENERATION OF LOVE UNIT
GENERATION OF LOVE@2013

Thursday, August 1, 2013

Waasi wawagomea Umoja wa Mataifa kusalimisha Silaha ndani ya masaa 48. soma hapa...

Baada ya Umoja wa Mataifa kutoa saa 48 kwa waasi kusalimisha silaha DRC,  Waasi hao hadi sasa hawajaonyesha mwitikio wowote hadi sasa na hakuna dalili yoyote ambayo inaonekana swali ni Je nini kifanywe kuashawishi waasi hao kusalimisha silaha? Mimi na wewe hatujui endelea kufatilia Jonsttwice.blogspot.com

No comments:

Post a Comment