Habari zilizotufikia muda huu Sheikh Ponda
ajeruhiwa kwa risasi mjini morogoro katika Mkutano wa Muhadhara,
Machafuko hayo yalitokea baada ya kuisha kwa Muhadhara huo wakati
wakeielekea Katika Msikiti wa Mungu mmoja wakati wako njiani walipigwa
mabomu ya machozi na Kupigwa Risasi na ndipo Sheikh Ponda alipo
jeruhiwa…Hadi sasa Haijajulikana Wapi alipo.
Endelea kuwa nasi Tutaendelea Kuwajuza nini Kinaendelea
No comments:
Post a Comment