Show Ya South Africa ya MwanaFa na Ay haikuwa Show iliyofanyika bila
wawili hao kufanya kitu nchini SA. MwanaFa na Ay walikutana na J
martins na kufanikiwa kushoot Video ya Track yao ya Pamoja “Bila Kukunja
Goti ambayo walimshirikisha J Martins na ngoma hiyo akiwa ameifanya
Marco Chali.
Check Photos hapo chini na isikilize Track hiyo Pia kujikumbusha

Check Photos hapo chini na isikilize Track hiyo Pia kujikumbusha
No comments:
Post a Comment