GENERATION OF LOVE UNIT

GENERATION OF LOVE UNIT
GENERATION OF LOVE@2013

Monday, August 5, 2013

Joyce Kilia,..Nipeni Jimbo nitetee haki zenu nimekuja kazini rasmi..Soma hapa kujua zaidi

 
Mwanamke mpiganiaji wa haki za wanawake na jamii nzima kwa  ujumla Joyce Kilia amesema waliokuwa wakimsema kaolewa na Jambazi wakae kimya sasa baada ya kufutwa kwa kesi iliyo kuwa ikimkabili Mumewe na kusema nimepitia mengi sana hapa Duniani ila sasa yupo tayali kupigania haki za watu akiwa kama Mbunge na kuwataka wananchi kuwa tayari kumpokea katika Siasa na kuahidi atahitaji Jimbo 2015.

No comments:

Post a Comment