Usichokijua kuhusu Salim Kikeke wa BBC
“Mboya ndiye mmoja kati ya rafiki zangu ambao tulibadilishana mawazo,
tulifarijiana na kufikiria matarajio ya ndoto zetu, mambo yalikuwa
magumu mpaka nikafikia hatua ya kusema basi imetosha,”
Kikeke
- Kumbe aliwahi kuwa kijakazi migodini Arusha,alisota Kijiweni Sinza
- Salim ni Mtanzania anayetangaza vipindi mbalimbali katika Shirika la Habari la Uingereza (BBC). Safari ya kufikia mafanikio hayo ilikuwa na milima na mabonde, tabu na karaha.
No comments:
Post a Comment