GENERATION OF LOVE UNIT

GENERATION OF LOVE UNIT
GENERATION OF LOVE@2013

Saturday, August 10, 2013

Hii ndiyo Range Roversport iliyo teketea kwa Moto kutokana na wivu wa mapenzi, Bonya hapa kujua zaidi...


Wivu noma sana , Dada mmoja huko Mbezi amelitia Kiberiti Gari la mpenzi wake aina ya Range Rover Jipyaaa Baada ya kukuta Condom iliyotumika kwenye gari hilo , Mashahidi wanasema wakati analiwasha moto alikuwa akisema kuwa hilo gari ndio linakutia kiburi mpaka kutembea na wanawake zako ndani ya gari , tuone sasa ukitaka katembee nao vichakani....
Whats your take ?

No comments:

Post a Comment