GENERATION OF LOVE UNIT

GENERATION OF LOVE UNIT
GENERATION OF LOVE@2013

Saturday, August 3, 2013

Hemedy PHD aamua kuwasikiliza mahabiki wake kuhusu maisha yake, Soma hapa

HEMEDY "NIMEKOMA SIVAI TENA HERENI MASIKIONI"

                                   AHSANTE KWA KUICHAGUA JONSTWICE
Kutokana na kusikikia malalamiko mengi kutoka kwa mashabiki, Hemedy ameamua kuwa mpole na kufuata kile watakacho.

“Kumekuwa na fight kubwa sana kati ya mimi na director wangu pale ninapokuwa na scene za ofisini nakuwa mbishi sana swala kuvaa hereni sasa nimepata ushauri kutoka kwa mashabiki wangu nimeona nikamshauri director wangu kuepuka kero ambazo hawazipendi mashabiki wangu. Nitakuwa mjinga nisipo wasikiliza mashabiki wangu,” PHD , sihitaji tena kuvaa hereni masikioni kwangu.

No comments:

Post a Comment