Sunday, August 11, 2013
Dimpozi afanya kitu mbaya Burundi amjibu Dimond kwa vitendo, Bonya hapa kujua zaidi
Ommy
Dimpoz licha ya kukwama kwa muda kidogo kwenye Airport ya Jomo
Kenyatta, hatimaye aliweza kufika nchini Burundi na kufanya show. Baada
ya kufika Burundi, njiani kuelekea kwenye show Ommy Dimpoz alifuatwa na
kundi kubwa la watu wakifuatilia gari lake huku yeye akiwapungia mkono.
Cheki hii picha kutoka kwake mwenyewe Ommy Dimpoz
Ahsante kwa kuwa rafiki mkubwa wa Jonstwice.blogspot.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment